Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Chahali Podcast:How many episodes does Chahali Podcast have?The podcast currently has 132 episodes available.
February 19, 2026Magaidi WATANZANIA WakamatwaMagaidi Kadhaa Kutoka Tanzania Wakamatwa Nchini SomaliaAngalia video kamili hapa https://youtu.be/1LVIB51qQPY...more12minPlay
January 19, 2026SAMIA vs WARIOBASAMIA SULUHU HASSAN amemshukia vikali Jaji Josef Sinde Warioba kufuatia Jaji Warioba kuongelea yaliYojiri Oktoba 29 na siku zilizofuata ambapo ripoti zinaeleza kuwa maelfu ya Watanzania walichinjwa kwa amri ya Samia. Kadhalika, makaburi kadhaa ya halaiki yamebainika, safari hii ikiwa ni katika baadhi ya mikoa zaidi ya yale yaliofahamika jijini Dar es SalaamVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/OhP05RzS4Xg...more10minPlay
January 17, 2026SAMIA Lobbying USABREAKING NEWS: SAMIA Asaini Mkataba wa Shilingi BILIONI 2.7 Kumsafisha MAREKANI!SAMIA SULUHU HASSAN amesaini mkataba wenye thamani ya SHILINGI BILIONI 2.7 na kampuni moja ya LOBBYING ya nchini MAREKANI, Mkataba wenye lengo la KUMSAFISHA kutokana na ushiriki wake kwenye mauaji ya maelfu ya Watanzania kuanzia Oktoba 29, 2025....more13minPlay
January 17, 2026Good News SAMIA ICCGOOD NEWS! Habari Njema NNE Kuhusiana na Kesi Dhidi ya SAMIA Huko ICC...more15minPlay
January 17, 2026Ubashiri Tanzania 2026Ubashiri Kuhusu Yatakayojiri Mwaka Huu 2026 | SAMIA Hatoumaliza MadarakaniVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/1JqbBG74LZ4...more16minPlay
January 17, 2026Hatari KubwaHATARI KUBWA! Mipango ya Mauaji Yawekwa HadharaniVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/oxKIW0Tgmvo...more11minPlay
January 17, 2026SAMIA Ashinda Tuzo ya DIKTETA WA MWAKA 2025SAMIA SULUHU HASSAN ameshinda tuzo ya kimataifa ya dikteta wa mwaka 2025, habari hii ni miongoni mwa LATEST NEWS zinazo trend nchini Tanzania na kote AFRICA. Video hii inachambua kwa undani ushindi huu na pia inazungumzia mkutano mkuu wa Watanzania unaojadili mikakati muhimu. Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi za TRENDING.Video kamili ipo hapa https://youtu.be/40-ATVQ5DHg...more11minPlay
January 17, 2026Mpasuko MkubwaBREAKING! Mpasuko Mkubwa SANA Serikali ya SAMIA | Yaanza Kumong'onyokaVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/Uf__2N5m7cg...more23minPlay
January 17, 2026SAMIA vs Kanisa KatolikiSAMIA SULUHU HASSAN ameendeleza vita yake dhidi ya Kanisa Katoliki ambapo jana alituma genge la waandamanaji kwenda Ubalozi wa Vatican kulalamika dhidi ya viongozi wa Kanisa hilo. Miongoni mwa waandamanaji hao walikuwa waumini wa dini ya Kiislamu lakini waliojifanya ni Wakatoliki....more14minPlay
FAQs about Chahali Podcast:How many episodes does Chahali Podcast have?The podcast currently has 132 episodes available.