Fedha ndefu imemwagwa na SAMIA SULUHU HASSAN kwa ajili ya kuwarubuni watu mbalimbali wakubali mpango wa maridhiano. Miongoni mwa wanaowindwa kwenye hilo ni viongozi waandamizi wa Chadema japo tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Mheshimiwa John Heche ameshatoa msimamo wa chama hicho dhidi ya maridhiano. Pia kuna mpango haramu wa kugushi ridhaa ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu aliyeko gerezani kwa mashtaka ya uhaini.
Video kamili ipo hapa https://youtu.be/81fVXxv5G_U