Dakika 10 Za Kocha

Dakika 10 Za Kocha

By Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.BusinessEntrepreneurshipEducationSelf-ImprovementInvesting
Download on the App Store

Dakika 10 Za Kocha episodes

  • #DZK034; Epuka Fedha Kuwa Kikwazo Kwako Kufanikiwa.
    Tamaa Ya Pesa Inakuzuia Kupata Pesa Zaidi.

    Rafiki,
    Kama unasoma hapa,
    Najua unataka kupata pesa zaidi.

    Lakini kupata pesa inapokuwa ndiyo kipaumbele pekee kwako,
    Unakuwa unajizuia kupata pesa nyingi zaidi.

    Na hiyo siyo kwa sababu ya udhaifu wako,
    Bali ni kwa asili ya binadamu,

    Ipo kanuni inayosema; *Kipimo kinapogeuka lengo, kinaacha kuwa kipimo kizuri.*

    Hivyo ndivyo pesa inavyokuwa kikwazo kwako.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi tamaa ya pesa inavyokukwamisha na namna ya kuvuka hilo.

    Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Pesa ni muhimu sana, lakini umuhimu huo usikukwamishe kupata kwa wingi zaidi.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK033; Epuka Huu Utani Unaokukwamisha Kufanikiwa.
    Kataa Kabisa Huu Utani Kwenye Maisha Yako.

    Rafiki,
    Kuna vitu huwa tunavichukulia kama utani,
    Lakini vinakuwa na madhara makubwa kwenye maisha yetu.

    Moja ya vitu hivyo ni fikra na kauli hasi.
    Unapojiambia vitu hasi, hata kama ni kwa utani, vinakuathiri.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi chochote hasi kinavyoweza kukukwamisha.

    Nimekuonyesha jinsi unavyopaswa kuwa mkali kuondoa kila kilicho hasi kwenye maisha yako.

    Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Usijikwamishe kwa mambo unayoruhusu kama utani.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK032; Kuwa Mvumilivu Kwenye Kutokuwa Na Uhakika Ufanikiwe.
    Kuwa na Uvumilivu Kwenye Kutokuwa na Uhakika.

    Rafiki,
    Sisi binadamu huwa tunapenda sana uhakika.

    Hiyo ndiyo kazi namba moja ya ubongo wetu.

    Ndiyo maana tunaweza kubaki kwenye mambo yasiyotupa matokeo makubwa, kwa sababu tu yana uhakika.

    Ili tupate mafanikio makubwa, lazima tuweze kuvumilia hali ya kutokuwa na uhakika.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa mwongozo wa kujenga tabia hiyo.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Ukiweza kuvumilia kutokuwa na uhakika, utaweza kijenga mafanikio makubwa.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK031; Jipe Laana Ya Ushindi Ufanikiwe Kwa Uhakika
    Jipe Laana Ya Ushindi Ili Ufanikiwe.

    Rafiki,
    Kuna mambo unayorudia rudia kufanya na yanakukwamisha kupata mafanikio makubwa unayoyataka.

    Huenda unaamini mambo hayo ndiyo hatima yako.
    Au umelaaniwa usipate mafanikio unayoyataka.

    Nina habari njema sana kwako rafiki yangu,
    Kwamba, unaweza kujipa laana ya ushindi.

    Ndiyo, unaweza kujipa laana ambayo hata iweje, ni lazima utapata ushindi.

    Kwa laana hiyo, hakipo kitakachoweza kukuzuia kupata ushindi.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kujipa laana hiyo na kujihakikishia ushindi na mafanikio makubwa.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Imani hiyo hiyo inayokuzuia kufanikiwa, ndiyo pia itakayokupa mafanikio makubwa. Itumie vizuri.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK030; Jinsi Ya Kupenda Chochote Ili Ufanikiwe.
    Kitendawili Cha Mapenzi Na Mafanikio.

    Rafiki,
    Kuna kitendawili cha muda mrefu kuhusu mapenzi na mafanikio.

    Watu wengi wameshindwa kutengua kitendawili hicho na hilo linawakwamisha.

    Mapenzi na Mafanikio ni vitu ambavyo haviwezi kutenganishwa.

    Ni lazima mtu apende sana kile anachofanya ndiyo aweze kupata mafanikio.

    Wengi wanahangaika na vitu wanavyopenda, wakati haviwezi kuwapa mafanikio.

    Ambacho hawajui ni wanaweza kupenda chochote na kikawapa mafanikio.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi unavyoweza kujenga mapenzi ya dhati kwenye kitu chochote na ukaweza kufanikiwa sana.

    Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Kama unachopenda kufanya hakiwezi kukupa mafanikio, jifunze kupenda kile chenye mafanikio.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK029; Njia Rahisi Ya Kubadili Tabia Ili Ufanikiwe.
    Njia Rahisi Ya Kubadili Tabia Zako.

    Rafiki,
    Moja ya vitu vilivyosimama kati yako na mafanikio yako ni tabia ulizonazo.

    Huwa tunajenga tabia, halafu baadaye tabia zinatujenga sisi.

    Ili upate matokeo ya tofauti na unayopata sasa, lazima uwe na tabia tofauti na ulizonazo sasa.

    Lakini kubadili tabia siyo kitu rahisi.
    Umejaribu mara nyingi kujenga tabia mpya lakini unakwama.

    Hiyo ni kwa sababu unatumia njia zisizo sahihi.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha njia rahisi na ya uhakika ya kujenga tabia bora za mafanikio.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Anza na tabia sahihi kama unataka kujenga mafanikio makubwa.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK028; Mantiki, Ushahidi Na Matumizi - Vigezo Sahihi Vya Mafanikio.
    Tumia Mantiki, Ushahidi Na Matumizi Kuepuka Usumbufu

    Rafiki,
    Naweza kukupa sababu kubwa inayokukwamisha kufanikiwa.

    Sababu hiyo ni usumbufu.
    Kuhangaika na mambo mengi ambayo hayana tija kabisa.

    Unaweza kudhani mambo unayohangaika nayo sasa yana mchango kwako.
    Lakini siyo.

    Lipo chujio kali la kujua kipi kina mantiki na kipi hakina.
    Chujio hilo linaangalia vitu vitatu;
    1. Mantiki - Ina maana gani hasa.
    2. Ushahudi - Umejuaje ni kweli.
    3. Matumizi - Ina manufaa gani hasa.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimefafanua hayo na jinsi ya kuyatumia kufanikiwa.

    Soma barua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Usihangaike na usumbufu usio na tija.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK027; Jitofautishe Hivi Na Akili Mnemba (AI)
    Je AI Itakuacha Salama?

    Rafiki,
    Teknolojia nyingi zimekuja duniani,
    Ambazo zimefanya maisha yetu binadamu kuwa bora.

    Kila teknolojia imekuwa inategemea sana mwongozo wa binadamu ili ifanye kazi.

    Lakini sasa hivi tuko kwenye mapinduzi ya teknolojia ambayo ni ya tofauti kabisa.

    Teknolojia hii haitegemei sana mwongozo wa binadamu, bali inaweza kujiongoza yenyewe.

    Teknolojia hii siyo tena kifaa cha kutumiwa na binadamu,
    Bali ni kitu kinachoshindana na binadamu na kuchukua majukumu yake.

    Teknolojia hii ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) inaleta vurugu kubwa kwenye maisha na kazi za wengi.

    Je wewe shughuli zako ziko salama dhidi ya AI?
    Umejipangaje kuendelea kuwa muhimu kwenye zama hizi?

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha njia za kujitofautisha na AI ili uzidi kuwa bora na kujenga mafanikio makubwa.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    AI inatengeneza watu bora wachache sana, na wengi ambao ni tegemezi.
    Je wewe uko upande gani?

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK026; Epuka Huu Upumbavu Wa Kujitakia Unaokukwamisha Kufanikiwa.
    #BZK; Epuka Huu Upumbavu Wa Kujitakia Unaokukwamisha Kufanikiwa.

    Rafiki,

    Hatua muhimu sana kwenye safari ya mafanikio makubwa ni kuepuka kuwa mpumbavu.

    Hiyo ni kwa sababu upumbavu ni mzigo ambao ni vigumu sana mtu kuutua.

    Wakati ujinga inawezekana kuutua kwa kujifunza, upumbavu huwa unamganda mtu kwa muda mrefu.

    Huwa kuna aina mbili za upumbavu.

    Ya kwanza ni ule upumbavu wa msingi ambao mtu anakuwa nao. Huu huwa ni mgumu kutoa kwa sababu mtu anajiona yupo sahihi.

    Aina ya pili ni upumbavu wa kujitakia. Huu huwa unatokana na kitu ambacho mtu unafanya kwa nia njema, lakini matokeo yake inakuweka kwenye upumbavu.

    Kwenye #BaruaYaKocha, nimekuonyesha jinsi unavyojiweka kwenye upumbavu wa kujitakia na njia za kuachana nao ili ufanikiwe.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Usiwe mpumbavu, utajikwamisha kwenye mambo mengi.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK025; Usibadilike Kuendana Na Dunia, Ibadili Dunia Iendane Na Wewe.
    Ibadili Dunia, Iendane na Wewe.

    Rafiki,
    Watu wa kawaida huwa wanabadilika kuendana na dunia.

    Watu wasio wa kawaida huwa wanaibadili dunia kuendana nao.

    Je unadhani ni kundi lipi linaloleta mafanikio makubwa?

    Jibu ni kundi la wanaoibadili dunia.

    Sasa kama unajua hivyo, mbona bado unakazana kubadilika ili uendane na dunia?

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekueleza kwa kina jinsi ya kuibadili dunia iendane na wewe.

    Hilo litakusaidia kuishi upekee wako na kuleta matokeo ya kipekee.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Kamwe usidharau chochote cha tofauti kilicho ndani yako.
    Hicho ndiyo chenye nguvu ya kuleta mafanikio makubwa.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min

About Dakika 10 Za Kocha

From the publisher's feed

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka…