Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi a... more
FAQs about Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle:How many episodes does Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle have?The podcast currently has 26 episodes available.
March 18, 2009Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabuEx mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya...more16minPlay
March 18, 2009Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘...more15minPlay
March 18, 2009Somo 24 – NimesahauKumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa...more16minPlay
March 18, 2009Somo 23 – Kumetokea nini?Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa...more16minPlay
March 17, 2009Somo 22 – Jumatano saa moja ya asubuhiMatatizo Hotel Europa: Bomba la mvua (shower) limeharibika... Muhtasari wa sarufi: Kiulizio cha wakati...more16minPlay
March 17, 2009Somo 21 – Posta iko wapi (Nitafika vipi posta)?Mtafaruku katika mapokezi ya hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kijineno denn...more15minPlay
March 17, 2009Somo 20 – Nimeandikisha chumba (hotelini)Siku ya kukosa bahati Herr Müller... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case III)...more16minPlay
March 17, 2009Somo 19 – Mtu humsemesha vipi Kaizari?Mahojiano na Karl Mkuu ... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case II)...more17minPlay
March 17, 2009Somo 18 – Yeye kaniambia hayoMazungumzo kuhusu siri za Aachen... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case I)...more15minPlay
March 17, 2009Somo 17 – Asili ya jina Aachen inatoka wapiRipoti ya Andreas: maandalizi ya mwanzo ya kikazi... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya...more14minPlay
FAQs about Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle:How many episodes does Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle have?The podcast currently has 26 episodes available.