Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi a... more
FAQs about Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle:How many episodes does Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle have?The podcast currently has 26 episodes available.
March 17, 2009Somo 16 – Kuna (mtu) aliyesikia hayoAndreas anatoa siri yake... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) kwa kitendo haben...more18minPlay
March 17, 2009Somo 15 – Jambazi liitwalo Mack the Knife (Meki Majisu)Andreas na Ex kabla ya kwenda kutazama mchezo wa kuigiza... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case) kwa majina ya kiume (masculine nouns)...more17minPlay
March 17, 2009Somo 14 – Insemekana (mchezo huo) unavutia sanaMvutano kuhusu mchezo upi wa kuingiza unafaa... Muhtasari wa sarufi: Kielezi cha pahali wo. Kitendo cha utaratibu sollen...more17minPlay
March 17, 2009Somo 13 – Unayo pia sketi hiyo ya rangi nyeusi?Mama yake Andreas yuko katika duka kubwa... Muhtasari wa sarufi: Kuunganisha majina (nomino)...more15minPlay
March 17, 2009Somo 12 – Masomo yanaendelea vizuri sanaBaba yake Andreas ana matatizo.. Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dativ case) wa kidhihirishi kikamilifu (definite article) na viwakilishi vya binafsi....more13minPlay
March 17, 2009Somo 11 – Pengine katika jumba la michezo ya kuigiza?Mijadala migumu katika familia ya Andreas... Muhtasari wa sarufi: Kuuliza kwa kutumia neno wohin...more15minPlay
March 17, 2009Somo 10 – Siku zote unataka kujua kila kituMama yake Andreas anataka kujua mengi... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu wollen...more14minPlay
March 17, 2009Somo 09 – Mimi ningependa ndizi!Friji la Andreas ni tupu tena... Muhtasari wa sarufi: Majina bila ya vidhihirishi...more15minPlay
March 17, 2009Somo 08 – Hilo usilifanye!Simu inalia: Wazazi wa Andreas wanakuja... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vya utaratibu sollen na müssen...more15minPlay
March 17, 2009Somo 07 – Ndege yangu inaondoka saa tatuKwenye mapokezi ya hoteli: Mgeni mmoja ana haraka... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu dürfen...more16minPlay
FAQs about Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle:How many episodes does Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle have?The podcast currently has 26 episodes available.