Learn Swahili | SwahiliPod101.com

Extensive Reading in Swahili for Intermediate Learners #7 - What’s In the Sky?


Listen Later

Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal Swahili----
NINI IKO ANGANI
NJE YA HII DUNIA
Angalia juu angani
Wewe hujiuliza nini iko huko?
Wacha tujue!
NYOTA
Usiku ukiwa wazi, unaweza ona nyota nyingi sana.
Nyota ni vitu zilizo kwa hewa na zimetengenezwa kwa gesi inayochomeka.
Nyota hukaa ndogo kwa sababu ziko mbali sana.
Jua ni nyota.
Ndio nyota ya pekee inayoonekana mchana.
Aina ya vikundi vya nyota ziko na majina.
Zinafanana na watu ama wanyama.
MWEZI
Mwezi ni mpira mkubwa wa jiwe.
Mwezi hukaa ndio kitu kubwa zaidi angani wakati wa usiku.
Inakaa kubwa kwa sababu iko karibu na Jua.
Mwezi hautengenezi mwangaza.
Mwezi huangaza kwa sababu ya jua.
Jua huangaza nusu mwezi kwa wakati mmoja.
Nusu ingine iko giza.
Mwezi hukaa tofatuti nyakati zingine za mwezi.
Mwezi huzunguka dunia.
Sisi huona mwezi sehemu tofauti zilizong'aa wakati tofauti.
Wakati wa mchana mwezi huenda mbele ya jua.
Mwezi huzuia miale ya jua.
SAYARI
Sayari ni vitu kubwa zinazozunguka nyota moja.
Dunia ni sayari tunayoishi.
Tunaweza ona sayari tano angani usiku.
Nazo ni Zebaki, Zuhura, Masi, Jupita na Zohali.
Jua huangaza nusu mwezi kwa wakati mmoja.
Nusu ingine iko giza
Dunia huzunguka kama kifuniko.
Tuko na Mchana na usiku kwa sababu Dunia huzunguka.
Dunia huzunguka Jua.
Dunia huzunguka jua safari moja kila mwaka.
Anga hukaa tofauti, nyakati tofauti za mwaka.
COMETI NA NYOTA ZINAZOWAKA
Cometi ni vumbi na barafu zinazo zunguka jua.
Cometi ziko na mikia mirefu.
Nyota zinazowaka kupaa angani usiku.
Nyota zinazo waka ni mawe yawakayo moto na kupaa angani ikienda duniani.
Ukipepesa macho utazikosa.
----Formal English----
WHAT’S IN THE SKY?
OUT OF THIS WORLD
Look up in the sky.
Do you ever wonder what’s up there?
Let’s find out!
STARS
On a clear night, you can see many stars.
Stars are objects in space that are made of burning gases.
Stars look small because they are very far away.
The sun is a star.
It is the only star we see during the day.
Some groups of stars have names.
They look like people or animals.
THE MOON
The moon is a big ball of rock.
The moon looks like the biggest object in the night sky.
It looks big because it is close to Earth.
The moon does not make light.
The moon looks bright because the sun shines on it.
The sun only shines on half of the moon at a time.
The other half of the moon is dark.
The moon looks different at different times of the month.
The moon moves around Earth.
We see different parts of the moon’s bright side at different times.
Sometimes the moon moves in front of the sun during the day.
The moon blocks the sun’s rays.
PLANETS
Planets are big objects that move around a star.
Earth is the planet we live on.
We can see five planets in the night sky.
They are Mercury, Venus, Mars, Jupiter, and Saturn.
The sun shines on half of Earth at a time.
The other half is dark.
Earth spins like a top.
We have day and night because Earth spins.
Earth moves around the sun.
Earth makes one trip around the sun each year.
The night sky looks different at different times of the year.
COMETS AND SHOOTING STARS
Comets are bits of dust and ice that move around the sun.
Comets have long tails.
Shooting stars fly through the night sky.
Shooting stars are small space rocks that burn up as they fly toward Earth.
If you blink, you will miss them!
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Learn Swahili | SwahiliPod101.comBy SwahiliPod101.com

  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4

4.4

37 ratings


More shows like Learn Swahili | SwahiliPod101.com

View all
Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio) by JapanesePod101.com

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio)

618 Listeners

Global News Podcast by BBC World Service

Global News Podcast

7,779 Listeners

Learn Korean | KoreanClass101.com by KoreanClass101.com

Learn Korean | KoreanClass101.com

283 Listeners

Learn Spanish | SpanishPod101.com by SpanishPod101.com

Learn Spanish | SpanishPod101.com

666 Listeners

Learn Italian | ItalianPod101.com by ItalianPod101.com

Learn Italian | ItalianPod101.com

427 Listeners

Learn German | GermanPod101.com by GermanPod101.com

Learn German | GermanPod101.com

419 Listeners

Learn French | FrenchPod101.com by FrenchPod101.com

Learn French | FrenchPod101.com

388 Listeners

Learn Arabic | ArabicPod101.com by ArabicPod101.com

Learn Arabic | ArabicPod101.com

156 Listeners

Learn English | EnglishClass101.com by EnglishClass101.com

Learn English | EnglishClass101.com

863 Listeners

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com by PortuguesePod101.com

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com

116 Listeners

Learn Dutch | DutchPod101.com by DutchPod101.com

Learn Dutch | DutchPod101.com

88 Listeners

SBS Swahili - SBS Swahili by SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

5 Listeners

The Daily by The New York Times

The Daily

111,397 Listeners

Life Kit by NPR

Life Kit

4,309 Listeners

Learn Swahili with LinguaBoost by LinguaBoost

Learn Swahili with LinguaBoost

8 Listeners

The Ezra Klein Show by New York Times Opinion

The Ezra Klein Show

15,207 Listeners

Swahili made easy: A podcast for Busy Swahili learners by Karen W. Stringer Ph.D.

Swahili made easy: A podcast for Busy Swahili learners

6 Listeners

Easy French: Learn French through authentic conversations | Conversations authentiques pour apprendre le français by Hélène & Judith

Easy French: Learn French through authentic conversations | Conversations authentiques pour apprendre le français

140 Listeners