Falsafa za Jamii

Falsafa za Jamii

Download on the App Store

All Falsafa za Jamii episodes

  • Uzalendo

    Nini hasa ni maana ya neno uzalendo. Tunatumia vigezo vipi kusema mtu fulani ni mzalendo. Falsafa inasemaje juu ya uzalendo

    22 min
  • Ukimya wa Hofu katikat Siasa za Tanzania

    Nguvu na mbinu zinazotumiwa na serikali ya Tanzania kutengeneza Hofu ili kukabiliana na wale wanaoikosoa. Falsafa inatuambia nini juu ya diplomasia za mabavu zinazotumiwa na serikali ya tanzania

    25 min
  • Nani hasa anamiliki chama chako

    Umewahi kujiuliza jinsi gani muundo halisi wa chama kilicho tawala kwa muda mrefu ubadilika na kuwa genge la wafanyabiashara. Sheria ya chuma ya Oligarchy inasema nini

    32 min
  • Mkate na Sarakasi

    :Mkate na sarakasi ni dhana inayotumika katika jamii yetu kimkakati, Je falsafa ina lipi la kusema juu ya hilo

    23 min
  • Nguvu na Mabavu

    Kuna tofauti gani kati ya nguvu na mabavu, je ni kweli taasisi inapopoteza nguvu inaweza kutumia mabavu kuendesha shughuli zake, Falsafa inasemaje juu ya haya

    13 min
  • Uovu wa Kimfumo

    Jinsi gani watu wa kawaida wenye sura nzuri na muonekano wa kawaida, hujikuta wakafanya uovu wa kushitua kwa kisingizio cha kufuata taratibu za kazi.

    22 min