Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries... more
FAQs about Habari - Voice of America:How many episodes does Habari - Voice of America have?The podcast currently has 24 episodes available.
January 23, 2025Athari za ugonjwa wa tezi dume - Januari 23, 2025Saratani ya tezi dume ni ugonjwa unaosumbua katika jamii nyingi hivi sasa ugonjwa ambao unaelezwa kwamba unatokana na sababu mbalimbali ikiwemo umri mkubwa au maambukizi ya mara kwa mara katika tezi dume ugonjwa ambao unawakabili wanaume hasa wanaofikia umri mkubwa....more6minPlay
September 06, 2024Wanafunzi 17 wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia moto uliotokea kwenye shule ya msingi ya Hillside Endarasha Kenya - Septemba 06, 2024Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari....more30minPlay
June 13, 2024ADF Washukiwa kufanya mauaji katika kijiji huko DRC - Juni 13, 2024Watu Zaidi ya thelathini wauwa na wapiganaji wenye silaha na shoka ,Mapanga wanao dhaniwa kuwa wa kundi la ADF katika Kijiji cha Maikengu katika secta ya Bapere nakusababisha wana vijiji kuhama makaazi yao wilayani Lubero Kivu kaskazini ....more3minPlay
May 01, 2024Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana - Mei 01, 2024Rwanda yaweka mkakati mpya wa ajira kwa vijana unaoambatana na mwelekeo wa dunia wenye mfumo wa teknologia katika kutoa huduma mbalimbali....more4minPlay
July 28, 2023JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Julai 28, 2023Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel.Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire...more21minPlay
July 26, 2023KWA UNDANI JULY 26 2023: Mkutano wa Putin na Marais wa nchi za Afrika nchini Russia - Julai 26, 2023Viongozi wa Afrika wanaanza mkutano wao na rais wa Russia Vladmir Putin, nchini Russia lakini chini ya nusu ya marais wa Afrika wanahudhuria mkutano huo wakisema wanastahili kuakilishwa na mwenyekiti wa umoja wa Afrika hatua ambayo Russia inadai inachochewa na nchi za magharibi....more25minPlay
July 14, 2023Dunia inaadhimisha siku ya ujuzi kwa vijana - Julai 14, 2023Dunia siku ya Jumamosi inaadhimisha siku ya ujuzi wa kazi kwa Vijana ambapo kauli mbiu ni kuwapa ustadi walimu, wakufunzi pamoja na vijana Kutokana na hilo tumezungumza na Gloria Anderson ambaye ni YALI Fellow na Mkurugenzi na mwanzilishi wa TEDI -Tanzania Enlightenment Development Innovations...more3minPlay
May 07, 2023JARIDA: Matukio muhimu duniani wiki hii - Mei 08, 2023Kati ya yaliyotokea wiki hii ni pamoja na shambulizi laa ndege isiyokuwa na rubani nchini Russia, Kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya ushoga nchini Uganda, Maandamano ya upinzani kufifia nchini Kenya na kufukuliwa kwa miili ya watu waliokufa kutokana na mafunzi ya kidini Kenya...more21minPlay
May 02, 2023MANDAMANO YA UPINZANI KENYA YAMEKOSA JOTO.mp3 - Mei 03, 2023Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga alishindwa kuongoza wafuasi wake kwa maandamano kuingia katikati mwa jiji la Nairobi baada ya maafisa wa usalama kushika doria. Kennes Bwire amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof Harman Manyora...more13minPlay
May 02, 2023BUNGE LA UGANDA LIMEPITISHA MSWADA DHIDI YA USHOGA.mp3 - Mei 02, 2023Bunge la Uganda limepitisha mswada dhidi ya ushoga kwa mara ya pili, baada ya kurudishwa bungeni na rais Yoweri Museveni akitaka ufanyiwe marekebisho.Kennes Bwire amezungumza na Sadam Mubale, mwandishi wa habari pamoja na mbunge Asuman Baasalirwa, mwandishi wa mswada huo....more13minPlay
FAQs about Habari - Voice of America:How many episodes does Habari - Voice of America have?The podcast currently has 24 episodes available.