Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries... more
FAQs about Habari - Voice of America:How many episodes does Habari - Voice of America have?The podcast currently has 24 episodes available.
February 25, 2023Wananchi wa Nigeria wapiga kura kumchagua rais mpya na viongozi wengine. Jumla ya wagombea 18 wanawania wadhifa wa urais. - Februari 25, 2023Wizara ya Ulinzi ya Uingereza yasema huenda Russia imepungukiwa na silaha na wapiga kura nchini Nigeria wamejitokeza kumchagua rais mpya pamoja na viongozi wengine....more30minPlay
December 20, 2022Museveni ametetea mwanawe Generali Muhoozi Kainerugaba kwa ujumbe wa siasa kwenye twiter - Desemba 20, 2022Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba haoni makosa yoyote kwa mwanawe kuzungumzia siasa za nchi hiyo licha ya kwamba sheria za nchi zinapiga marufuku wanajeshi kuzungumzia au kujihusisha na siasa. Kennes Bwire amefanya mahojiano na Nabende Wamoto mchambuzi wa siasa za Uganda...more10minPlay
December 20, 2022Je, Rais wa Afrika kusini ataepuka mawimbi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2024? - Desemba 20, 2022Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa anayekabiliwa na kashfa ya utakatishaji wa fedha amechaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha ANC. Je safari yake ya kisiasa itakumbana na vizingiti? Kennes Bwire amaefanya mazungumzo na mchambuzi wa siasa za Afrika kusini Peter Bigenda, akiwa Johannesburg....more14minPlay
December 19, 2022Ripoti ya Kamati ya bunge la Marekani kuhusu uvamizi uliotokea bungeni wakati wa kurasmisha ushindi wa rais Joe Biden Januari 6 2021 - Desemba 19, 2022Ripoti hiyo inahusu juhudi za rais wa zamani Donald Trump kutaka kubatilisha ushindi wa Biden. Wademocrat wanasema Trump anastahili kufunguliwa mashtaka ya uhalifu.Kennes Bwire amezungumza na Prof David Monda, mhadhiri wa siasa katika chuo kikuu cha City New York,...more14minPlay
September 05, 2022Kwa Undani: Raila alikosea wapi, na Ruto alifanya nini ndipo akashinda urais? - Septemba 05, 2022Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari....more30minPlay
August 23, 2022Raia wa Angola wajiandaa kwa uchaguzi mkuu kesho - Agosti 23, 2022Wagombea urais nchini Angola Jumatatu walihitimisha kampeni za mwezi mzima kabla ya uchaguzi wa Jumatano ambao huenda ukashuhudia ushindani mkali kati ya chama tawala, kilicho madarakani kwa miongo kadhaa, na upinzani unaozidi kuongeza mvuto miongoni mwa vijana....more30minPlay
July 08, 2022Raia kutoka nchi za maziwa makuu na Afrika mashariki waishio Canada waunda shirika la kukuza Kiswahili - Julai 08, 2022Shirika hilo liitwalo Kiswahili Network Canada lina wanachama 150. Baadhi ya malengo yake ni kuunda chombo cha habari cha wanaozungumza Kiswahili, na kuwafunza Kiswahili watoto waliozaliwa Canada, kama anavyoeleza Juma Manirambona, naibu mwenyekiti wa shirika hilo...more5minPlay
June 06, 2022Mahojiano na msemaji wa waasi wa M23 Mj. Willy Ngoma - Juni 06, 2022Waassi wa M23 wanaopigana na wanajeshi wa DRC wamesema kwamba wataendelea kupigana hadi pale serikali itakapoheshimu makubaliano ya Nairobi. Waasi hao vile vile wamedai kwamba wanapata silaha kutoka kwa jeshi la DRC na wala hawapati msaada kutoka kwa serikali ya Rwanda....more13minPlay
March 24, 2022Yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa dharura wa G7 mjini Brussels, Ubelgiji - Machi 24, 2022Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Alhamisi alihutubia muungano wa NATO na kuomba msaada zaidi wa kijeshi ili aweze kupambana vilivyo na wanajeshi wa Russia, huku viongozi wa muungano huo wa kijeshi, akiwemo kiongozi wa Marekani Joe Biden, wakikutana mjini Brussels, Ubelgiji....more30minPlay
December 06, 2021Prof Walter Jaoko asema Omicron sio hatari sana kama Delta - Desemba 06, 2021Mwanasayansi, mhadhiri na mtafiti kuhusu virusi nchini Kenya Profesa Walter Jaoko, amesema kwamba utafiti unabaini kwamba aina mpya ya virusi vya Corona Omicron sio hatari kuliko virusi vya awali ikiwemo Delta na kwamba mgonjwa anaweza kutibiwa nyumbani bila kulazwa hospitalini....more15minPlay
FAQs about Habari - Voice of America:How many episodes does Habari - Voice of America have?The podcast currently has 24 episodes available.