MATUMAINI PROG 1489TITLE: WENYE DHAMBI TUFANYE NINI?TEXT: ZABURI 51:1-17Msikilizaji wangu mpenzi natumai u buheri wa afya na hao ndiyo maombi yangu. Leo twajiuliza swali wenye dhambi tufanye nini? Jha langu ni david mungai. Wimbo alafu tuendeleeWIMBONaam karib tulichambue neno. Leo twajiuliza swali hili, wenye dhambi tufanye nii? Naisoma zaburi ya 51:1-17 Nihurumie, Ee Mungu, kadiri […]