Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, nakuletea historia ya michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika huko Uingereza, na kwenye le Parler francophone nakuletea ratiba ya tamasha kupitia centre culturel francophone ya Kigali na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Ufaransa wa miondoko ya RNB TayC. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.