FAQs about Homefm radio online:How many episodes does Homefm radio online have?The podcast currently has 8 episodes available.
May 10, 2020NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA ? Episode 02Karibu tena usikilize muendelezo wa episode ya kwanza ilikua inasema NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA? na leo tupo na PETER SAGATWA au unaweza kumuita MC Masai karibu na uenjoy the podcast ya Homefm RADIO online kupitia digital platforms ikiwemo Anchor.fm yenyewe lakini pia kupia iTunes spotify googleplaystore breaker ITunes nakadhalika....more55minPlay
May 03, 2020NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA ?Niwe na vitu gani ili niitwe kijana niliye fanikiwa ? ni episode inayo jaribu kutuelewesha kuhusu maana au tafsiri sahihi nini maana ya mafanikio kwa mtu au watu. MAFANIKIO NI NINI? ..Ni hali ya mtu kutimiza au kufanikisha kusudi au sababu ya kuwepo kwake. Inaambatana na mtu kujua kwanza kusudi la kuwepo kwake duniani na kuliishi hilo kusudi. Unaweza kusikiliza podcast ya Homefm RADIO online kupitia digital platforms ikiwemo Anchor.fm yenyewe lakini pia kupia iTunes spotify googleplaystore breaker ITunes nakadhalika...more39minPlay
April 26, 2020KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA? EPISODE 02Karibu tena usikilize episode 02 inayo sema KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ? Tumezungumza na mshindi wetu wa episode ya kwanza PETER SAGATWA ama MC MASAI, Unaweza kusikiliza podcast ya Homefm RADIO online kupitia digital platforms kama Radio public, Breaker.audio, ITunes, spotify, googleplays na kadharika...more36minPlay
April 19, 2020KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ?Kumekua na dhana au mitazamo mbali mbali pindi tunapo ongelea juu ya ndoto (dream). Wengi tumekua hatuziishi ndoto zetu kiasi cha kupelekea ndoto nyingi kuto kua halisi, unaweza ukawa unakazi au umejiajiri na kitu flani lakini bado kuna kitu cha ndoto yako unatamani kukifanya ili utimize ndoto zako unatamani kuishi maisha ya ndoto zako sasa mbali na kazi unayo ifanya sasa KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ? kitu cha ndoto zako ugumu wake uko wapi. kupitia the podcast ya Homefm RADIO online tumejaribu kuzungumzia mambo manne makuu yanayo changia kwa namna moja ama nyingine mimi au wewe kushindwa kuanza kufanya kile kitu tunacho kipenda. 1.UTHUBUTU 2.KULIZIKA 3.MAZINGIRA 4.KUTOKUA NA NDOTO HALISI...more32minPlay
April 09, 2020JE ni zipi Athari za CORONA kiuchumi katika maisha yetu ya kawaidaJe? NI ZIPI ATHARI ZA CORONA KIUCHUMI KATIKA MAISHA YETU YA KAWAIDA. Ukiangalia khali ya maisha ya sasa kutokana na kinacho endelea ulimwenguni, ni kama dunia inataka kuzima. Maeneo ambayo kulikua na heka heka nyingi za maisha kila siku. Lakini asaivi khali imekua tofauti kabisa. Na shughuri zikiwa zimesitishwa kabisa huku kukiwa na makatazo mengi. Makatazo kuanzia kwenye shule, usafiri, na mikusanyiko ya watu kuzuiwa hata sehemu za ibada au burudani yote kutokana na ugonjwa wa corona. Swali ni je ni zipi athari za CORONA kiuchumi katika maisha yetu ya kawaida....more19minPlay
March 21, 2020ULISHA WAHI KUA INSPIRED NA JAMBO GANI UKALIFANYA NA JE LIKAKULETEA FAIDA AU HASARA?Tunapo ongelea kuhusu inspiration kuhusu jambo flani au mtu kua inspired juu ya jambo flani sio kitu kibaya ila unakua inspired kwenye masuali yapi kama ukiyafuata na kuyafanya yanaweza kukupa faida ama hasara. unataka kua kama flani unataka kuanza biashara kama flani je wajua njia za kuzifuata kuyafikia hayo. sikiliza hii episode itakusaidia kwa kiasi chake enjoy....more15minPlay
March 20, 2020Let talk about Convid19 Coroda virusesConvid19 corona viruses ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama lakini pia kwa binadamu. Inaaminika ni aina ya virusi vilivyo hama kutoka kwa wanyama na kuathiri binadamu pia. Na inasemaka virusi vya corona vipo vya aina nyingi ila sisi tutaongelea zaidi kuhusu virusi Aina ya Convid19...more18minPlay
March 19, 2020Jinsi gani tunafikiria kupata pesa zaidi?Hivi ni wakati gani mtu hufikiria jambo la kumuingizia pesa zaidi. Je? ni ule wakati hana pesa au ule wakati unapesa...more10minPlay
FAQs about Homefm radio online:How many episodes does Homefm radio online have?The podcast currently has 8 episodes available.