Yesu ni Kiongozi wa Pekee.Kama mwamini ni vizuri na busara kuishi katika njia ya Mungu kwa kufata njia ambayo Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo alitufundisha kuifata.
***************************************
SOMO : YESU NI KIONGOZI WA PEKEE
MHUBIRI : PASTOR ANTIPAS SELAFINI
KANISA : TAG YOMBO KISIWANI,DAR ES SALAAM,TANZANIA