
Sign up to save your podcasts
Or


Wakati wa kurudi kwa Yesu Kristo upo karibu.Ndugu yangu simama vizuri na Mungu ili atakaporudi Yesu akukute ukiwa uko katika njia iliyo salama.
****
SOMO : WAKATI U KARIBU
MHUBIRI : MCHUNGAJI ANTIPAS SELAFINI
KANISA : TAG YOMBO KISIWANI,DAR ES SALAAM,TANZANIA
KIPINDI : IBADA (JUMATANO)
Mafanikio yoyote katika huduma ya Kazi ya Mungu ni kuamua kuacha vyote kwa maana ya kutofanya vile ambavyo ni nje ya kusudi la Mungu na kufanya yale yote Mungu anayotaka tufanye na kuyafata.
****
SOMO : SIRI YA MAFANIKIO YA HUDUMA - 2
MHUBIRI : MCHUNGAJI ANTIPAS SELAFINI
KANISA : TAG YOMBO KISIWANI,DAR ES SALAAM,TANZANIA
KIPINDI : IBADA (IJUMAA)
Mafanikio yoyote katika huduma ya Kazi ya Mungu ni kuamua kuacha vyote kwa maana ya kutofanya vile ambavyo ni nje ya kusudi la Mungu na kufanya yale yote Mungu anayotaka tufanye na kuyafata.
****
SOMO : SIRI YA MAFANIKIO YA HUDUMA - 1
MHUBIRI : MCHUNGAJI ANTIPAS SELAFINI
KANISA : TAG YOMBO KISIWANI,DAR ES SALAAM,TANZANIA
KIPINDI : IBADA (JUMATANO)
From the publisher's feed