Jua Haki Zako

Kenya : Sanaa ya wanafunzi wa shule yakera serikali


Listen Later

Mjadala makali bado unaendelea baada ya serikali kudaiwa kuzuia wanafunzi wa shule ya upili ya Butere kuwasilisha uchezo wao wa Echoas of War kwenye ngazi ya kitaifa kwenye mashindao ya kuingiza.

Kisa na maana ni kwamba mchezo huo unaikosoa serikali na kwamba uliandikwa na mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa zamani wa chama tawala cha UDA, Bwana Cleophas Malala. Kauli ya wanafunzi kupitia mchezo wa kuigiza wa "Echoes of Doom" imeibua maswali mazito kuhusu uhuru wa kujieleza, demokrasia na usalama wa taifa.

Wanafunzi hawa walitumia jukwaa la sanaa kuelezea hali  halisi ya jamii, lakini kile kilichoanza kama onyesho la kisanaa , limeibua hisia mseto baada ya madai kwamba serikali iliwazuia wanafunzi hao kuonyesha sana hiyo kwenye ngazi ya kitaifa.

 

Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Jua Haki ZakoBy RFI Kiswahili


More shows like Jua Haki Zako

View all
Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners