Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Kijiwe Nongwa.:How many episodes does Kijiwe Nongwa. have?The podcast currently has 74 episodes available.
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 24: FLOWER 3 EP | B12 | TMA 23Rayvanny ametoa kionjo na orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye Ep yake ya tatu ya mfululizo ya Flowers 🌺, tunaizungumzia na jinsi ambavyo Rayvanny anaandika na kuimba kuhusu mapenzi. Usiku wa Tuzo Uko karibu kabisa,tunabashiri washindi na Yale tutayotegemea....more1h 16minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 23: LOUI X LEGACY RECORDS | BEBERU TRILOGY | SALU T.Tunaangazia kizungumkuti Cha Loui na record label yake ya Legacy. Mengi yamesemwa kuhusiana na BEBERU TRILOGY ya Wakazi tunajaribu kuelewa ni uelekeo gani Wakazi atakwenda na tunamkumbukaKaka yetu alietutoka SALU T na muziki wake....more1h 3minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 22: TUZO ZA TMA 2023 (TULIPOFIKA) | ZIIKI MEDIA.Kampuni ya ZIIKI MEDIA imeendelea kuwapa mikataba wasanii wengi wakubwa kwa Tanzania, nini maana Yao na Wana malengo Gani na uwekezaji huu kwa Tanzania? Tunaichambua pia safari kuelekea kilele Cha Tuzo za Muziki Tanzania....more1h 1minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 21: LOUI | DAVIDO | UKALI WA MSANII.Davido anarudi na album mpya tunaangazia kujua nini tunaweza kujifunza kutoka kwake. Nini haswa kipimo Cha umahiri kimuziki wa mwanamuziki, Hilo nalo tumelizungumzia....more1h 5minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 20: PLAYLIST YA VP KAMALA HARISS | MWEZI MTUKUFU | UUZAJI WA MUZIKIMakamu wa Rais wa Marekani Bi Kamala Harris amezitembelea nchi za Ghana, Tanzania na Zambia, na katika safari zake ametoa muziki anaousikiliza katika safari yake, tunazungumza kuhusu Hilo. Mwezi MTUKUFU pia na uhusiano wake na utoaji hafifu wa MUZIKI....more35minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 19: WAVE EP (MAONI) | ABIGAIL CHAMS | JOOZEY.Joh Makini ametoa Ep mpya ya Wave, tunaichambua. Jinsi ambavyo Abigail Chams anatembea na soko la Tanzania na kama ni njia sahihi sana, tunamaliza na Dj JOOZEY....more1h 17minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 18: TOP 20 | MPWT MAONI | SALIMANini dhana ya Top 20 katika muziki, ni jinsi gani tunaweza kupata chati kwa ufasaha zaidi katika wakati huu wa teknolojia. Nyimbo mpya ya SALIMA kutoka kwa Fredrick Mulla pia tunaizungumzia....more1h 7minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 17: WANAWAKE NA MUZIKI | PHINA & ZUCHU | 1.5% COSOTA.Siku ya wanawake Iko mbele yetu. Tunaujadili mchango wa wanawake katika muziki wa Tanzania, nafasi Yao na changamoto zinazowakumba....more1h 6minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 16: HIP HOP HAIUZI BADO? | PUBLISHING | Q-CHIEF.Je, ni kweli bado Hip hop HAIUZI mpaka Sasa? Tunaichambua dhana hii pamoja na kuangalia uchapishaji wa muziki na Q Chief na album yake mpya....more1h 1minPlay
May 13, 2023Kijiwe Nongwa Ep 15: TUZO ZA MUZIKI 2023 | ALIKIBA X YOGO BEATS.Tunaangalia ukaribu wa ALIKIBA na producer YOGO BEATS na kama wawili hawa wanatengeneza muziki mzuri zaidi wakiwa pamoja....more1h 3minPlay
FAQs about Kijiwe Nongwa.:How many episodes does Kijiwe Nongwa. have?The podcast currently has 74 episodes available.