Karibu katika episode yetu ya 49, tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Ibraah,Marioo na Phina.
Mazungumzo yetu yanaangazia pia Castlelight Superior Sets kwa ujumla pamoja na matamasha mengine ya muziki.
Tunamaliza mjadala wetu na Sauti za Busara kwa mwaka 2024.
Karibu utusikilize. Usisahau kusubscribe,kucomment na kutupa rating.