Kiti cha Neema

Kiti cha Neema

Download on the App Store

Kiti cha Neema episodes

  • Kua katika Neema na Kumjua Kristo

    2 Petro 3

    17 Lakini ninyi, wapenzi wangu, mmekwisha jua jambo hili. Basi, muwe na tahadhari msije mkapotoshwa na makosa ya waasi, mkaanguka kutoka katika msimamo wenu imara. 18 Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina.

    Waebrania 4:16

    Kwa hiyo basi, tusogelee kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupokee rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa shida.

    20 min

About Kiti cha Neema

From the publisher's feed

Hebrews 4:16

Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.

Waefeso…