Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Hebrews 4:16Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.Waefeso 2:8-9K... more
FAQs about Kiti cha Neema:How many episodes does Kiti cha Neema have?The podcast currently has 1 episodes available.
April 09, 2026Kua katika Neema na Kumjua Kristo2 Petro 317 Lakini ninyi, wapenzi wangu, mmekwisha jua jambo hili. Basi, muwe na tahadhari msije mkapotoshwa na makosa ya waasi, mkaanguka kutoka katika msimamo wenu imara. 18 Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina.Waebrania 4:16Kwa hiyo basi, tusogelee kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupokee rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa shida....more20minPlay
FAQs about Kiti cha Neema:How many episodes does Kiti cha Neema have?The podcast currently has 1 episodes available.