Bendi ya Les Wanyika ni miongoni mwa bendi zilizopiga fora miaka ya 70 kupitia nyimbo zao kama vile Kajituliza Kasuku, na nyingine, iliundwa na wanamuziki kutoka Tanzania na Kenya waliopiga Kambi jijini Nairobi. wiki hii Ali Bilali anakukumbusha kidogo historia ya bendi hii na nyimbo zake. usikosi pia kumfollow kwa Instagram