Mahakama ya juu nchini Kenya imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na serikali kuhusu marekebisho ya katiba maarufu kama BBI, ambao ndio uamuzi wa mwisho kuhusu mchakato huo.
Ni nini kimesababisha deni la Serikali ya Tanzania kuongezeka kutoka Shilingi trilioni 57 mwaka uliopita hadi kufikia Shilingi trilioni Sh65, kwa mujibu wa CAG?

Baada ya mchakato uliochukua zaidi ya mika miwili, wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Jumanne waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama wa jumuiya hiyo.

Waandishi Mary Mgawe, Jackline Odhiambo na Ali Mtasa wanaangazia ripoti mbalimbali zilizogonga vichwa vya habari kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa, zikiwa ni pamoja na Mzozo wa wakimbizi nchini Ukraine, Mkutano wa dharura wa NATO na maadhimisho ya Siku ya Maji Duniani.

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Alhamisi alihutubia muungano wa NATO na kuomba msaada zaidi wa kijeshi ili aweze kupambana vilivyo na wanajeshi wa Russia, huku viongozi wa muungano huo wa kijeshi, akiwemo kiongozi wa Marekani Joe Biden, wakikutana mjini Brussels, Ubelgiji.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.