Mzozo wa uhaba wa mafuta nchini Kenya unaendelea kutokota licha ya Waziri wa kawi Monica Juma kutangaza hatua kali alizosema zitachukuliwa dhidi ya wanaohodhi bidhaa hiyo huku bei ya mafuta ikiongezwa na mamlaka ya EPRA.
Hat baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelezea kutoridhika kwake na uchrleweshwaji wa kupakua mizigo katika bandari ya Dar es Salaam na kuagiza hatua zinazostahili zichukuliwe, wachambuzi wanasema hali hiyo itakuwa na athari ya muda mrefu kwa uchumi wa nchi hiyo.

Wakati Rais Wa Russia Vladmir Putin akisema kwamba mazungumzo ya kutafuta suluhisho la mzozo kati ya nchi yake na Ukraine yameshindikana, rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba kuhutubia kikao cha Umoja wa Afrika, kwa mujibu wa rais wa Senegal Macky Sall.

Wakati waasi wa M23 wakitangaza kusitisha mapigano kwa sasa, msemaji wao, Willy Ngoma, ameiambia VOA kwamba ni lazima serikali iheshimu mkataba wa Nairobi na kuhakikisha kwamba inapambana na makundi mengine ya waasi kwa ajili ya usalama wa raia wa DRC

Jukwaa la waandishi linamulika ripoti kuu za wiki zikiwa ni pamoja na mwanzo wa siku 100 za kumbukumbu ya 28 ya mauaji ya kimbari nchi Rwanda, uhaba wa mafuta na bidhaa nyingine kote Afrika Mashariki na bajeti ya Shilingi Trilioni 3.3 ya Kenya.

Rais wa Rwanda, Paul Kagame Alhamisi aliikosoa Jumuiya ya kimataifa kwa "kukaa kimya wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994," ambapo inaaminika kwamba takriban watu laki nane walipoteza maisha yao katika mashambulizi yaliyowalenga zaidi Watutsi.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.