Wataalam wanasema uhaba wa mafuta unaoendelea kushuhudiwa katika baadhi ya nchi za Afrika Mashariki huenda ukawa na athari mbaya zaidi za kiuchumi katika siku za usoni.
Umoja wa Mataifa unasema idadi ya wakimbizi kutoka Ukraine imefikia milioni 5 huku wengine milioni 7 wakitafuta hifadhi ndani ya nchi hiyo katika kile kinachoelezwa kama moja ya mizozo mibaya zaidi ya kibinadamu katika historia.

Ripoti kwamba watu wasiopungua 15 wamepoteza maisha yao Mashariki mwa DRC kwa kushambuliwa kwa risasi na maafisa wa jeshi katika matukio tofauti zimeibua hisia mseto, wengi wakitaka wanajeshi hao wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Makubalinao kati ya Uingereza na Rwanda ambapo wahamiaji wanaojaribu kuingia nchini Uingereza watahamishiwa kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki yameibua hisia mseto huku baadhi ya wadau, wakiwa ni pamoja na watetezi wa haki za binadamu, wakiyakosoa vikali.

Waandishi kutoka maeneo mbalimbali wanamulika habari kuu za wiki na jinsi zilivyoripotiwa, zikiwa ni pamoja na wasiwasi ulioibuliwa na baa la njaa Afrika Mashariki, mgogoro wa uhaba wa mafuta nchini Kenya na kampuni ya Uber kusitisha shughuli zake nchini Tanzania.

Mzozo wa uhaba wa mafuta nchini Kenya unaendelea kutokota licha ya Waziri wa kawi Monica Juma kutangaza hatua kali alizosema zitachukuliwa dhidi ya wanaohodhi bidhaa hiyo huku bei ya mafuta ikiongezwa na mamlaka ya EPRA.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.