Muungano wa Azimio la Umoja Kenya Moja Jumatano ulitangaza kwamba mchakato uliokuwa uanze wa kuwahoji wawaniaji wa nafasi ya naibu wa rais umesitishwa baada ya utata kuhusu mchakato huo kuibuka.

Dunia inaadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari huku nchi nyingi za Afrika Mashariki zikitajwa katika ripoti ya Shirika la Waandishi wasio na Mipaka kama zilizoimarisha rekodi yake ikilinganishwa na mwaka jana.

Kenya, Uganda, Burundi na DRC ni kati ya nchi za ukanda wa maziwa makuu ambazo tayari zimeanza sherehe za siku tatu za sikukuu ya Kiislamu ya Eid ul-Fitr baada ta mfungo wa Ramadhan huku waumini wengi wakilalamika kuhusu hali ngumu ya maisha.

Waandishi kutoka maeneo mbalimbali wanamulika habari kuu za wiki na jinsi zilivyoripotiwa, zikiwa ni pamoja na kifo cha rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki, na mkutano kati ya waasi wa DRC na serikali ukiongozwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameongoza mkutano kati ya viongozi wa waasi nchini DRC na wajumbe wa serikali ya Rais Felix Tshisekedi katika juhudi za kutafuta amani Mashariki mwa nchi hiyo.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.