Ufadhili wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania wapata pigo, Wanajeshi wa Uganda kuondoka DRC na Wanajeshi wa Ukraiane wanaendelea kupambana na uvamizi wa Russia.
Kufuatia kauli za mkuu wa jeshi la ardhini la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugamba kwamba wanajeshi walio katika nchi jirani ya DRC watarejea nyumbani ndani ya kipindi cha wiki mbili, hisia mseto zimeibuka.

Kufuatia mashambulizi ya mwishoni mwa wiki mjini Buffalo, New York, ambapo kijana mzungu anashukiwa kuwaua watu kumi, na kujeruhi watatu, mjadala umeibuka mkali tena kuhusu haki za umiliki bunduki, huku Rais Joe Biden akiyaita ya kibaguzi.

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Changamoto za uchimbaji wa madini katika ukanda wa Afrika Mashariki zimekuwa donda sugu kwa miongo kadhaa sasa huku mingi ya mikataba inayotiwa saini na wadau ikiendelea kuibua utata mkubwa. Nini kiini cha mizozo hii na inaweza kutatuliwaje?

Wanachama 19 waliokuwa wabunge wa viti maalumu CHADEMA wavuliwa ubunge.
Ziara ya rais wa Tanzania, Samia Hassan nchini Uganda yawezesha mikataba mbalimbali kufikiwa.
Waziri Matiang'i asema asilimia 40 ya wagombea Kenya ni wahalifu wa kutakatisha fedha.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed