Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kufuatia kuapishwa kwa rais mpya wa Somalia Hassan Hassan Sheikh Mohamud mapema wiki hii, wachambuzi wanasema ana kibarua kigumu kuwaleta pamoja mahasimu wengi wa kisiasa na kuboresha mahusiano yalyodhoofika kati ya Somalia na baadhi ya majirani wake.

Tunazungumza na wadau mbalimbali, wakiwemo wachambuzi na wanasiasa, kufuatia tangazo la serikali kwamba visa vya utakatishaji fedha baina ya wanasiasa vimekithiri

Leo Aprili 25, 2022 ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Malaria duniani, tunaangazia kwa undani zaidi hali ya ugonjwa huo katika ukanda wa maziwa makuu kwa kutathmini na kuzungumza na wataalam wa matibabu na wachambuzi mbalimbali.

Rais Joe Biden, akiwa ziarani nchini Japan, amesema kwamba Marekani iko tayari kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi iwapo China itaishambulia Taiwan.

Ufadhili wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania wapata pigo, Wanajeshi wa Uganda kuondoka DRC na Wanajeshi wa Ukraiane wanaendelea kupambana na uvamizi wa Russia.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed