Hatua ya kutupilia mbali rufaa ya wanawake 19 waliovuliwa uanachama na chama cha upinzani cha Tanzania, Chadema, imetajwa na baadhi yao kama ya kiuhuni huku naye mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akisesema wao ndio wahuni.

Maafisa wa serikali ya Kenya wanasema marufuku iliyowekwa ya kutotoka nje katika jimbo la Marsabit imeanza kuleta tija huku silaha mbaimbali zikinaswa na kupelekea hali ya matumaini ya kuimarisha usalama uliokuwa umezorota.

Serikali ya Tanzania imesema kwamba kero 18 kati ya 25 za muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimetatuliwa huku baadhi ya wananchi wakiwa na maoni mseto kuhusu mafanikio ya muungano huo.

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Wataalam na wachambuzi wanajadili nini cha kafanya ili kupunguza utegemezi wa nchi za Afrika Mashariki na Kati kwa Russia na Ukraine.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed