Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameongoza mkutano kati ya viongozi wa waasi nchini DRC na wajumbe wa serikali ya Rais Felix Tshisekedi katika juhudi za kutafuta amani Mashariki mwa nchi hiyo.
Makundi mbalimbali yameibuka Kenya kuwapigia debe watu - hususan wa jinsia ya kije -ambao wanasema wana uwezo mkubwa wa kuwa naibu rais na kuwataka wagombea urais kuwateua.

Serikali ya Tanzania imesema kwamba kero 18 kati ya 25 za muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimetatuliwa huku baadhi ya wananchi wakiwa na maoni mseto kuhusu mafanikio ya muungano huo.

Msemaji wa Kundi la waasi Mashariki mwa DRC M23 Meja Willy Ngoma anaelezea kile kilichowafanya wapiganaji wa kundi hilo kwendelea kukabiliana na wanajeshi wa serikali na kuteka vijiji.

Jukwaa la waandishi leo linakupatia mkhtasari wa habari kuu za wiki, zikiwa ni pamoja na kifo cha Rais Mwai Kibaki wa Kenya, ziara ya Royal tour ta Rais Samia na kufungwa jela kwa raia wa China nchini Rwanda

Wataalam wanasema uhaba wa mafuta unaoendelea kushuhudiwa katika baadhi ya nchi za Afrika Mashariki huenda ukawa na athari mbaya zaidi za kiuchumi katika siku za usoni.
30 min
About Kwa Undani - Voice of America
From the publisher's feed
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.