Umejaribu kila kitu — kuagiza mizigo China, coaching, kuuza nguo online, sasa AI —
lakini hakuna kinacholipa vizuri? Tatizo sio wewe. Ni ukosefu wa MWELEKEO MMOJA.
Kwenye video hii nakuonyesha jinsi ya kuchagua mwelekeo mmoja wa biashara unaotumia
AI, na kuacha kuanza upya kila mwezi — ili uweze kujenga mfumo mmoja unaolipa.
Tunachoongelea:
• Kwa nini kila wazo jipya linakurudisha hatua za mwanzo (na linavyokuwa "expensive")
• Mwelekeo Mmoja, Mfumo Mmoja — "Ninamsaidia nani, kwa nini, kwa njia gani?"
• Sheria ya Siku 90 — namna ya kupima mwelekeo kwa data, sio kwa hofu
• Thamani iliyojificha kwenye ujuzi wako wa "kawaida"
• Jinsi ya kutumia AI KUCHAGUA, sio kuzalisha mkanganyiko zaidi
Assignment yako: andika sentensi moja ya mwelekeo wako, kisha jaribu kwa siku 90.
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
JIUNGE NASI / FANYA KAZI NASI
👉 Community yetu (Skool) — madarasa na mfumo wa kuuza online kwa AI:
https://www.skool.com/zillim-club-1340
👉 Nitumie ujumbe WhatsApp (tuanze na darasa):
https://wa.me/255760962379
👉 Nifuate Instagram kwa tips za kila siku:
https://www.instagram.com/mcbenvics/
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
MASTERCLASS: Tumia AI Kuuza Online — ada ni TSh 199,500/= tu (badala ya 500,000/=).
Ndani yake utaondoka na mfumo mzima wa kuendesha biashara yako kwa AI — in 30 minutes
a day. Malipo: 0760962379, Jina: Elius Kamuhangire (Mpesa au Selcom Bank), kisha
nitumie message WhatsApp.
Elius Kamuhangire
Mjasi | Creator, ZillimDigital
#BiasharaTanzania #AIkwaBiashara #Ujasiriamali #ZillimDigital #KuuzaOnline #Mjasi