Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
BENDERA YA MAREKANI
Hii bendera ni ya Marekani.
Ni nyekundu, nyeupe na bluu.
Bendera iko na nyota hamsini.
Hizo nyota ni za majimbo hamsini.
Bendera iko na mistrari kumi na tatu.
Hiyo mistari ni ya majimbo kumi na tatu ya kwanza.
Bendera ilikuwa inakaa tofauti kitambo.
Bendera ilipata nyota mpya za majimbo mpya.
Je, bendera itakuwa na nyota zaidi?
Je, Marekani itakuwa na majimbo zaidi?
----Formal English----
THE UNITED STATES FLAG
This is the United States flag.
It is red, white, and blue.
The flag has fifty stars.
The stars are for the fifty states.
The flag has thirteen stripes.
The stripes are for the first thirteen states.
The flag looked different long ago.
The flag got new stars for new states.
Will the flag ever have more stars?
Will the United States ever have more states?
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!