Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Rehema: Je, hii ni kampuni ya JJ ya nyumba halisi?
Ajenti wa mali isiyohamishika: Jina langu ni Juma. Naweza kukusaidia?
Rehema: Ndio. Natafuta jumba katika sehemu nyamavu.
Ajenti wa mali isiyohamishika: Tunajumba mbili kubwa Muthaiga. Moja liko karibu na kilabu ya gofu.
Rehema: Je, ni nyamavu na karibu na nyanda za maduka?
Ajenti wa mali isiyohamishika: Zote zipo sehemu nyamavu na karibu dakika 7 hadi madukani kwa gari.
Rehema: Bora. Zina vyumba ngapi vya kulala? Zina bafu pamoja?
Ajenti wa mali isiyohamishika: Jumba moja lina vyumba tatu vya kulala ilhali lingine lina vyumba tano na bafu mbili pamoja.
Rehema: Zipo karibu na pakuogea?
Ajenti wa mali isiyohamishika: Pakuogea pako dakika 15 kutoka kwa jumba la kwanza. Jumba la pili lina pakuogea.
Rehema: Ni lile la vyumba tano?
Ajenti wa mali isiyohamishika: Ndio.
Rehema: Nitalichukua.
----Formal English----
Rehema: Hello, am I calling the JJ real estate company?
Real estate agent: Yes, my name is Juma. May I help you?
Rehema: Yes, I’m looking for a spacious house in a quiet place.
Real estate agent: I see. We have two bungalows in Muthaiga. One is near a golf club.
Rehema: Is it quiet and close to a shopping center?
Real estate agent: They are both in quiet areas within a seven-minute drive to malls.
Rehema: Sounds good. How many bedrooms do they have? Are they en suite?
Real estate agent: One has three bedrooms while the other has five bedrooms with two en suites.
Rehema: Are they near a swimming pool?
Real estate agent: There is a public swimming pool, 15 minutes drive away. The second house has a swimming pool though.
Rehema: Is it the five bedroom house?
Real estate agent: Yes.
Rehema: I'll take it.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!