Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mwalimu: Leo tutajifunza kuhusu shirika.
Victor: Shiriki madawa?
Mwalimu: Kwa njia moja, ndio. Ni dawa ya kila siku ambayo wengi wetu hutumia kila siku.
Rehema: Hilo ni nini? Pombe?
Mwalimu: Kahawa! Ni dawa kichocheo kinacho athiri ubongo na uti wa mgongo.
Rehema: Samahani kwa kukatiza, uti wa mgongo unamaanisha nini?
Mwalimu: Nimfupa wa katikati kwa mgongo. Kawaha lina athari ya kisaikolojia inayofanya uwekimacho.
Frank: Samahani tena, athari gani ya kisaikolojia?
Mwalimu: Swali nzuri… kuongezeka kwa papio la moyo na mtiririko wa damu hivyo kuongeza shinikizo la damu.
Mark: Tuwache kukunywa kahawa?
Mwalimu: Sio lazima, lakini ni vyema uwe na mipaka.
----Formal English----
Teacher: Today, we will look at addiction.
Victor: Drug addiction?
Teacher: In a way, yes. An everyday drug that most of us are in a habit of using.
Rehema: What could that be? Beer?
Teacher: Coffee! It's a stimulant that affects the brain and the Central Nervous System (CNS).
Rehema: Sorry for interrupting... could you explain what CNS means?
Teacher: It's basically the brain and spinal cord. Caffeine causes psychological reactions that keep you alert.
Frank: Sorry again... what kind of psychological reactions?
Teacher: Good question... increase in heartbeat and blood flow, thus increasing your blood pressure.
Mark: Should we stop drinking coffee?
Teacher: You don't have to, but you need to set limits.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!