Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mark: Habari ya asuhuhi. Je, hii ni kliniki ya meno ya Walters?
Rehema: Ndivyo, naweza kukusaidiaje?
Mark: Ningependa kuhifadhi wakati niangaliwe meno zinazolegealegea.
Rehema: Naelewa. Niwakati upi bora kwako?
Mark: Masaa zenu za kufanya kazi ni hadi saa ngapi?
Rehema: Kuanzia saa tatu hadi saa mbili jioni, Jumatatu hadi Ijumaa.
Mark: Nadhani naweza kuja saa moja jioni, Alhamisi.
Rehema: Samahani, jioni zote wiki hii zimeshahifadhiwa.
Mark: Nimeelewa. Je, Jumatatu wiki kesho ni sawa?
Rehema: Ndio.
Mark: Hivyo basi, nihifadhie hiyo siku. Asante.
Rehema: Sawa. Natumai kukuona ujapo.
----Formal English----
Mark: Good morning, is this the Walter Dental Clinic?
Rehema: Right, how can I help you?
Mark: I would like to book an appointment for my loose teeth.
Rehema: I see. What time is good for you?
Mark: What are your working hours?
Rehema: From 9 a.m. to 8 p.m. on Monday to Friday.
Mark: I think 7 p.m. Thursday would work for me.
Rehema: Sorry, the evenings for this week are all booked.
Mark: I see. Is Monday next week at 7 p.m. OK?
Rehema: Sure.
Mark: Then please write me down for it. Thanks.
Rehema: I did. Hope to see you then.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!