
Sign up to save your podcasts
Or


Hii podcast ni kioo cha kujiangalia kwa yule ambaye anahofia kuwa amepoteza "Kujiamini" kwake. Imewazungumzia wanawake ila hata mzazi wa mtoto wa kike pia anaweza akapata mwanga, kujua ulezi wa watoto wa kike unawajenga vipi kuwa wanawake wanaojiamini au wasiojiamini.
Wanawake wasiojiamini ni janga kwenye jamii hata kama kuna haki sawa, wanawake hawazifurahi hizo haki kwasababu hawajitokezi. Hii podcast ni kwajili ya wanawake ambao wanaona wamejipoteza njiani, na wanataka mwanga wa kumulika njia yao ili waweze kuwa watu wanaojionea fahari.
From the publisher's feed
Linnet Talks are all about socio-cultural issues, things that are a heartbeat of our communities; Family, Children, Young people and the most important of them all You. We dive deep into honest…
There are no gray zones, just clear lines and the truth, leaving the audience with a fresh perspective of life. These podcasts are in Kiswahili language, the Language of the East African community and the diaspora who still remember their African language.