Miongoni mwa matukio makubwa yanayotokea viwanjani, tunayachambèua jioni hii ni pamoja na :-
-Michuano ya soka, hatua ya makundi kwa mataifa ya Afrika kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar.
-Michuano ya soka, kuwani taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, CECAFA kwa upande wa wanawake.
-Hatua ya nusu fainali, kuwania taji la mchezo wa kikapu kwa mataifa ya Afrika, inayoendelea jijini Kigali nchini Rwanda.