Kwa kiasi kikubwa, tunamwangazia mwandishi wa vitabu, mwanahabari na mtunzi wa fasihi kifaransa pia msomi Alain Mabanckou, raia wa Ufaransa mwenye asili ya Congo Brazaville.
Yupo jijini Nairobi nchini Kenya kama mgeni rasmi wa maadhimisho ya Francophonie.