Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limefanikiwa kuwaleta pamoja wapizani waliosusia mazungumzo ya awali ya kisiasa na wanasiasa wa serikali nchini humo kuhusu hatima ya rais Joseph Kabila.