Missing in History, Dhuluma, Ulaghai, Maisha yaliyoporwa...
Historia, Siasa, na heka heka za Maisha ya Mzanzibari kabla na baada ya uhuru 1963, Mapinduzi ya 1964...
Nini kilitokea?? Wanzanzibari wakale na wasasa wameathirika vipi na matukio ya kihistoria?
Guest Speakers:
Tundu Lissu
Mohammed Ghassani
Hassan Khamis
Sultan Sultan
Hilmi Hilal
Salim Saad
Fundikira Kipaya
Godbless Lema