Mkutano wa 27 wa Umoja wa Afrika ulimalizika mwanzoni mwa juma hili jijini Kigali nchini Rwanda huku wakishindwa kumpata Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja huo, lakini walijadiliana kuhusu mzozo wa Sudan Kusini na Burundi.