Mbegu ni nini? Mbegu ni Mfumo unaohakikisha uzazi(uzalishaji) na uendelevu
Anayetawala mbegu anatawala matokeo.
Maisha yako ya leo ni mavuno ya mbegu zilizopandwa jana.
Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Jambo/matokeo yoyote unayotamani kwenye Maisha ni mavuno ya mbegu sahihi. Hii inamaanisha ukiwa na mbegu sahihi unaweza kupata mavuno unayotamani
Nyumba yenye amani na furaha ni mavuno
Mali ni mavuno
Jifunze Zaidi kwa kusikilize somo hili