Mzozo wa kisiasa nchini Burundi bado unashika kasi. Hakuna matumaini ya kupatikana kwa suluhu hivi karibuni na Shirika la Kimataifa la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International linadai kuwa maafisa wa usalama nchini humo wanawatesa na kuwauwa vijana.