Mtihani wa Kitaifa unabisha hodi na kila mmoja yupo mbioni kufanya ya haki ili kuzoa alama za juu. Je, watahiniwa wa mwaka huu wataujibuje ufahamu ili kuzoa alama bora?
————————————————
PERIOD PARTY ni hafla iliyopangwa na Classy Golden Foundation kuhamasisha watoto wasichana kuhusu mtazamo kuhusu hedhi. Fika Green Park Arena, Bee Centre karibu na kanisa la SDA. Wasiliana naye Mwasisi wa kampeni hii, Agnes Ndirangu kuhusu namna ya kumsajili mwana wako kupitia +254 723 516248 . Unaweza kuwazawidi sodo, vinywaji na vitafunio ili kuweza kueneza thamani ya mtoto wa kike.
————————————————-
Naipendekeza nakala hii, Boda Mpya na Hadithi Nyingine, kwako. Kitabu chenye manufaa kwa mwanafunzi wa gredi ya 7 au 8; shule ya upili hadi chuoni.
Kazi hii imehusisha waandishi wengi wabobevu katika kazi za fasihi andishi na kurejelea maudhui ya kileo yanayoathiri jamii ya sasa.
Pata nakala yenyewe katika maduka yote ya kuuza vitabu kote nchini au ujinunulie nakala yako kupitia kiunzi hiki:
https://adizanpublishers.com/product/boda-mpya-na-hadithi-nyingine
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/paukwaradio/message
Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/paukwaradio/support