Utabiri huu umegawanywa katika awamu tatu huku hiki kikiwa kipindi cha kwanza. Pata utabiri kila Jumatatu asubuhi ili kuweza kuwaandaa watahiniwa wako. Ukiwa mtahiniwa, andika yanayofaa zaidi. Katika kila kipindi tutakuwa tukitoa salamu kwa wasikilizaji wetu 13. Hakikisha umeacha ujumbe wako ili tuweze kukuzimia sigara peupe! Ni kina nani hawa wanaotangulia? Sikiliza hadi tamati.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/paukwaradio/message
Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/paukwaradio/support