Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Wanawake wengi wanajikuta wana uzito fulani kuhusu mambo ya ndani(intimacy)Afya ya akili(Mental health ) ni muhimu na ni mazungumzo ambao yanabidi yazungumzwe kwa uwazi ili wanawake wasijisikie wako p... more
FAQs about Pillow Manenoz Na Khadija Shamte:How many episodes does Pillow Manenoz Na Khadija Shamte have?The podcast currently has 9 episodes available.
October 09, 2020Episode 8-Heshima ya THE COOKIEMazungumzo haya ni kuhusu heshima za siri za kiwiliwili cha mwanamke-THE COOKIE,mafunzo,upeo wa ufahamu,madhara ya kutokuwa ya elimu hii na mapuuzaji ya kutokuweka afya mstari wa mbele.Afya na kisaikolojia na umuhimu wa kujiweka kwenye ukuwaji wa watoto wetu na pia kujuana kuheshimiana....more2h 4minPlay
October 02, 2020Episode 7-Kujifunza kutrust tenaKuaminiana/trust kwenye mahusiano endapo mahusiano yamepoteza kutokuaminiana,vipi mnarudi pazuri.Mbinu au jinsi Mme/Mke anasamehe makosa makubwa kwa ajili ya kuendelea kuwa kwenye mahusiano. Jamani kweli mahusiano yanaweza kuwa na nguvu baada ya kutokuaminiana,hapa ni pagumu!...more1h 41minPlay
September 25, 2020Episode 6:Wife mwenza/The other womanMazungumzo haya ni ya kutoa mtizamo wa mke mwenza/The other woman maana anakuwa sauti yake haisikilizwi kwa kuonekana yeye ndo alikuja kuchafua nyumba/ndoa ya wawili. Huu ni mtizamo wa pande tatu,wa mwanamme, mwanamke na mke mwenza,hili jambo liko kwenye jamii na linaleta jathba ya hali ya juu,tunazungumzia jamii kwa ujumla pia na jinsi tumekuwa tunaishi na yote haya ....more7minPlay
September 18, 2020Episode 5-Self KujipendaKujipenda/Self love ni muhimu kwa sote binadamu maana usipo jipenda wewe mwenyewe atakupenda nani?Umuhimu wa kujipenda kwenye jamii au kwenye mahusiano yanakuwa mazuri zaidi maana unaonyesha jinsi unavyotaka kupendwa kwa kujiamini na pia kuonyesha mapenzi ya dhati kwa wenzio....more2h 6minPlay
September 11, 2020Episode 4- Cuisine za ChumbaniCuisine za Chumbani inagusia mengi ya Chumbani kuanzia umuhimu, mbinu za kuboresha mahusiano,faida na mambo gani yanaweza kukwaza kutokwenda sambamba kimapenzi.Elimu ya Chumbani pia ni muhimu kuanzia kujitayarisha kiakili,kimwili,kiafya na kwa ushirikiano....more2h 22minPlay
September 04, 2020Episode 3- Mtango wa EntanglementMazungumzo ya leo ni kuhusu mpango wa kando na mitihani inayopitiwa kwenye mahusiano ya ndowa.kuna mengi yepi yanayowakabili watu hata wakajikuta kwenye mtango wa entanglements. Ni kitu kinacho endelea kutoka enzi za mababu kimebadilika sura kidogo lakini bado kipo kinajionyesha sura yake tofauti....more2h 11minPlay
August 28, 2020Episode 2-Deka nikudekezeNini neno Deka na vitendo vyake,kwa kizungu tunasema Undivided attention. Nguvu za kike na kiume na jinsi kukuza mahusiano yetu kea kujielimisha na kuzungumza wa wapenzi wetu.kujijenga kwa mazoezi ya akili na mwili kwa vyakula na lishe na vitamin na pia kujipenda na kumpenda mpexi wako na kasoro zake....more1h 42minPlay
August 19, 2020Episode 1-Mpenzi chocolateNini Mpenzi...nini mapenzi... tunachambua kiini cha pnzi na maana tofauti yanayoambantana pamoja kulifanya liwe ngao ya ndoa na mahusiano...more1h 29minPlay
August 08, 2020Intro trailer-Pillow manenozJumuika nami katia changa moto zinazowakabili haswa wanawake kimapenzi na wanaona utata au uzito kusema yanao wakereketa mpaka jambo likawafanya after zikadhohofika kisaikolojia ...tuna fungua sebule -karibuni...more2minPlay
FAQs about Pillow Manenoz Na Khadija Shamte:How many episodes does Pillow Manenoz Na Khadija Shamte have?The podcast currently has 9 episodes available.