ungana na John Samky katika kipindi cha Familia bora na nyumba aminifu, Studio nipo na Paschal Maziku, Federika Bayaga, Katekista Vicent Nathanael na Respicius Mwombeki, Wakufunzi wa familia bora katika nyumba aminifu, wanaelezea mada ya je, Waamini, Kanisa na taasisi zake zifanye nini kwa wanaoendeleza utamaduni wa kifo kwa kutoheshimu utu, kutunza na kutothamini uhai? L'articolo Je, Waamini, Kanisa na taasisi zake zifanye nini kwa wasioheshimu, kuthamini na kutunza uhai. proviene da Radio Maria.