Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
April 26, 2024Fahamu dalili za wito wa maisha ya wakfu.Ungana na Fredy William katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, ambapo Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo wa Radio Maria Tanzania, anazungumzia juu ya dalili za wito wa maisha ya wakfu.L'articolo Fahamu dalili za wito wa maisha ya wakfu. proviene da Radio Maria....more54minPlay
April 26, 2024Fahamu dalili au cheche za wito.Karibu Ungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo wa Radio Maria Tanzania, Mada ni muendelezo wa dalili au cheche za wito.L'articolo Fahamu dalili au cheche za wito. proviene da Radio Maria....more57minPlay
April 24, 2024Je, ni kweli Makadinari wa Afrika hawachaguliwi kuwa Mapapa?Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, Frateri Noah Mwamfupe anajibu swali lililoulizwa, Kwanini Makadinari wa Afrika hawachaguliwi kuwa Mapapa?L'articolo Je, ni kweli Makadinari wa Afrika hawachaguliwi kuwa Mapapa? proviene da Radio Maria....more25minPlay
April 24, 2024Sikiliza ufafanuzi wa Padre Amigu kuhusu Daraja ya Upadre.Karibu usikilize Kipindi cha Ujumbe wa Biblia na Padre Tutus Amigu Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Jimbo Kuu la Mwanza, ambapo katika Kipindi hiki anaendelea kufafanua juu ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ya Upadre, katika mada Kuu ya “kukoseana na kusameheana”.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.L'articolo Sikiliza ufafanuzi wa Padre Amigu kuhusu Daraja ya Upadre. proviene da Radio Maria....more52minPlay
April 24, 2024Je, Wafahamu kwanini Wakristo husherekea Sikukuu ya Pasaka?Karibu Uungane na Elizabeth Masanja katika Kipindi cha Utume wa Walei, Mada inayozungumziwa ni juu muendelezo kwanini tunasherekea Pasaka, Mwezeshaji Ndugu Luuteliko Ubelo kutoka kamati ya Uinjilishaji kutoka Utume wa Walei Jimbo kuu la Dar es salaam.L'articolo Je, Wafahamu kwanini Wakristo husherekea Sikukuu ya Pasaka? proviene da Radio Maria....more43minPlay
April 24, 2024Fahamu barua za kitume za Baba Mtakatifu Yohane Paulo II.Ungana na Joyce Jonatus katika Kipindi cha Mtaguso Mkuu wa Vatcan, ambapo Padre Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo Katoliki Moshi, anazungumzia juu ya Barua za kitume za Baba Mtakatifu Yohane Paulo II.L'articolo Fahamu barua za kitume za Baba Mtakatifu Yohane Paulo II. proviene da Radio Maria....more50minPlay
April 24, 2024Je, Wafahamu Utaratibu Wakusoma Masomo Kanisani?Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateli Ezekieli Ngimba, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema kwanini Masomo Kanisani katika maandiko matakatifu yanasomwa vipande vipande, Je yale yasiyosomwa hayafai?L'articolo Je, Wafahamu Utaratibu Wakusoma Masomo Kanisani? proviene da Radio Maria....more25minPlay
April 24, 2024Ni, kwa namna gani Mapaji ya Roho Mtakatifu yanafanya kazi katika Utashi wetu? (Sehemu ya pili)Karibu ungane nami Elizabeth Masanja, katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa leo tupo Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha ikiwa ni muendelezo wa kipindi cha Mapaji ya Roho Mtakatifu yanavyofanya kazi katika utashi wetu.L'articolo Ni, kwa namna gani Mapaji ya Roho Mtakatifu yanafanya kazi katika Utashi wetu? (Sehemu ya pili) proviene da Radio Maria....more52minPlay
April 23, 2024Yafahamu mafundisho ya Kanisa juu ya vidhibiti mimba.Karibu usikilize Kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, ambacho hukujia kila siku ya Jumanne Saa 8:00-8:55 mchana na kurudiwa Saa 4:00 usiku.Katika Kipindi hiki, Wakufunzi kutoka Pro Life Tanzania, wameendelea kudadavua mada ihusuyo “Maisha ya vijana na dunia ya leo, mada ndogo ya mafundisho ya Kanisa juu ya vidhibiti mimba”.Mtangazaji ni Agatha Kisimba.Karibu.L'articolo Yafahamu mafundisho ya Kanisa juu ya vidhibiti mimba. proviene da Radio Maria....more58minPlay
April 22, 2024Je, Wafahamu Sadaka ya Melkisedeki?Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateli Michael Mangazini, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema Padre anapoadhimisha sadaka la Misa Takatifu katika Sala ya Ekaristi husali akisema uipokee Sadaka hii safi na Takatifu isiyo na doa aliyokutolea Melkisedeki kuhani wako mkuu ‘ Naomba kujua ni sadaka gani aliyotoa huyo Melkisedeki kuhani Mkuu.L'articolo Je, Wafahamu Sadaka ya Melkisedeki? proviene da Radio Maria....more29minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.