Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, maswali yatakayojibiwa yameulizwa na Judith kutoka Jimbo Kuu la Dar es Salaam akihoji hivi;
Kwanini kwa Wakristo mtu akifariki wanawekewa Msalaba kwenye kaburi? Naomba kuelewa, maana ya nadhiri, na pia inaweza kuondolewa na mtu au na Mungu?Yanajibiwa na Frateri Barnabasi Myushi, kutoka Parokia Bikira Maria Mpalizwa mbinguni – Ujewa Jimbo Katoliki la Mafinga
Mtangazaji wak ni Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu sababu ya kuweka Msalaba katika kaburi la Mkristo. proviene da Radio Maria.