Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
July 28, 2025Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka?Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linalojibiwa Leo linauliza hivi;Bwana wetu Yesu Kristo alisema, atakayenikiri na kubatizwa kwa jina langu, ndiye atakayeokoka. Je kwa madhehebu au dini nyingine mathalani ndugu zetu waislamu ambao huwa hawabatizwi hawawezi kuokoka?Majibu yanatolewa na Frateri Renatus Kazimoto anayefanya utume Parokia ya Bikira Maria msaada wa Wakristo – Mnero Jimbo Katoliki Lindi Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu L'articolo Je, madhehebu mengine ambao hawabatizwi hawawezi kuokoka? proviene da Radio Maria....more29minPlay
July 26, 2025Je, unafahamu thamani ya ya kura yako katika kipindi cha uchaguzi Mkuu?Karibu katika kipindi cha Elimu Jamii, Mwezeshaji ni Joseph Kasongwa Mwaiswelo, Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma kutoka Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ambapo leo tunaangazia juu ya Thamani ya kura wakati wa uchaguzi Mkuu.Studio Kuu Mikocheni mtangazaji wako ni mimi Esther Magai Hangu nikishirikiana na Geofrey Rweyunga kutpka studio ndogo Jijini Dodoma.L'articolo Je, unafahamu thamani ya ya kura yako katika kipindi cha uchaguzi Mkuu? proviene da Radio Maria....more38minPlay
July 26, 2025Fahamu madhara ya ya kiuchumi yatokanayo na unyanyaswaji majumbaniKaribu katika kipindi cha Familia ni nyumba ya Mungu, kipindi hiki kinaandaliwa na kuletwa kwako na Mafrateri kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Karoli Lwanga – Segerea Jimbo Kuu la Dar es Salaam Frateri John Honest anazungumzia madhara ya kiuchumi yatokanayo na unyanyaswaji majumbani.L'articolo Fahamu madhara ya ya kiuchumi yatokanayo na unyanyaswaji majumbani proviene da Radio Maria....more22minPlay
July 26, 2025Je, Yohane Mbatizaji ndiye yule aliyeandika Injili ya Yohane au ni mwingine?Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tuungane na Frateri Benendict Luvanga kutoka Chuo Kikuu cha Kikatoliki Ruaha (RUCU) Jimbo Katoliki Iringa anajibu swali kutoka kwa msikilizaji ameuliza hivi. Je, Yohane mbatizaji ndiye yule aliyeandika Injili ya Yohane au mi Yohane mwingine? Mtangazaji wako ni Esther Magai HanguL'articolo Je, Yohane Mbatizaji ndiye yule aliyeandika Injili ya Yohane au ni mwingine? proviene da Radio Maria....more22minPlay
July 24, 2025Je, ni kwa namna gani Damu Azizi ya Yesu ni nguvu ya Utakaso?Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi Cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, ambapo Padre Dominic Mavula, C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo wa Radio Maria Tanzania, anafundisha juu ya thamani ya Ukombozi, akijikita zaidi juu ya mada ya “Damu Azizi ya Yesu nguvu ya utakaso.”L'articolo Je, ni kwa namna gani Damu Azizi ya Yesu ni nguvu ya Utakaso? proviene da Radio Maria....more54minPlay
July 23, 2025Fahamu namna bora ya kumsaidia mtoto kuwa na tabia njema.Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika Kipindi cha Pro-Life utetezi wa Uhai , ambapo Wanautetezi wa Uhai wanazungumzia juu ya Wajibu na Mamlaka ya Wazazi katika Malezi ya Watoto, wakifafanua juu ya namna bora ya kumsaidia mtoto kuwa na tabia njema.L'articolo Fahamu namna bora ya kumsaidia mtoto kuwa na tabia njema. proviene da Radio Maria....more56minPlay
July 23, 2025Je, unafahamu namna ya kujenga urafiki na Yesu Kristo?Karibu msikilizaji usikilize kipindi cha Tafakari Nasi, Mwezeshaji ni Padre John Bosco kutoka Parokia ya Bikira Maria Imakulatha Pande Msakuzi, Jimbo Kuu la Dar es Salaam akizungumzia juu ya kujenga urafiki na Yesu. L'articolo Je, unafahamu namna ya kujenga urafiki na Yesu Kristo? proviene da Radio Maria....more26minPlay
July 23, 2025Je, unafahamu vizuizi vya ndoa Takatifu katika Kanisa Katoliki?Karibu usikilize kipindi cha Ujumbe wa Biblia ambapo Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Jimbo kuu Katoliki Mwanza anatuelimisha juu ya Vizuizi vya Ndoa Takatifu ya Kanisa Katoliki. L'articolo Je, unafahamu vizuizi vya ndoa Takatifu katika Kanisa Katoliki? proviene da Radio Maria....more57minPlay
July 23, 2025Kwanini Yesu alimwambia Maria Magdalena, Usiniguse?Msikilizaji Karibu uungane na Frateri Fredrick Alfred Kabonge, kutoka Parokia ya Bikira Maria Consolata Kibao, Kituo cha Hija ya Huruma ya Mungu, Jimbo Katoliki Mafinga ambaye anajibu swali hili“Kwanini Yesu alimwambia Maria Magdalena, shahidi wa kwanza wa Ufufuko wake, “usiniguse?”Mimi ni Mtangazaji wako Elizabeth Masanja.L'articolo Kwanini Yesu alimwambia Maria Magdalena, Usiniguse? proviene da Radio Maria....more21minPlay
July 23, 2025Je wafahamu nafasi ya mwanadamu katika kazi ya uumbaji?Msikilizaji mpendwa karibu uungane na Frateri Theodosia Ng’etwa wa Jimbo Katoliki Iringa, ambaye ni Mseminari wa Seminari Kuu ya Kitaifa ya familia Takatifu iliyopo Mwendakulima, Jimbo Katoliki Kahama, katika kipindi Cha Mbiu ya Heri, ambapo Leo anazungumzia juu ya Nafasi ya mwanadamu katika kazi ya uumbaji.Karibu sana.L'articolo Je wafahamu nafasi ya mwanadamu katika kazi ya uumbaji? proviene da Radio Maria....more33minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.