Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu, leo studio nipo na Bi. Esther Kinyonga, Benedict Kessy, Monica Kessy, George Mapunda, Katekista Revocatus Kinyonga, Katekista Gabriel Jimu na Federika Bayaga wakizungumzia juu ya plotio ya nyumba aminifu wakijikita zaidi katika miito mbalimbali.L'articolo Fahamu mchango wa Familia katika miito mitakatifu. proviene da Radio Maria.