Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Emmilian Mahinya, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Andrea Ikumbiro Mtume Jimbo kuu la Mbeya, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema kuashiria nini katika ubatizo, Maji, Mafuta, na Mishumaa?
L'articolo Je, wafahamu kwanini tunapobatizwa tunawekewa Maji, Mafuta, Mishumaa? proviene da Radio Maria.